John 3:26

26 aWakamwendea Yahya wakamwambia, “Rabi, yule mtu aliyekuwa pamoja nawe ng’ambo ya Mto Yordani, yule uliyeshuhudia habari zake, sasa anabatiza na kila mtu anamwendea!”

Copyright information for SwhKC